Marekani yaahidi kurejesha wanadiplomasia wake Ukraine

Your browser doesn’t support HTML5

Marekani yaahidi kurejesha wanadiplomasia na kufungua tena ubalozi wake mjini Kyiv, Ukraine wakati wa ziara ya Waziri wa Mambo ya Nje Antony Blinken na Waziri wa Ulinzi Lloyd Austin Jumatatu.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari