Marekani yaahidi dola bilioni 5 kusaidia sekta ya afya na uchumi Kenya

Your browser doesn’t support HTML5

Marekani yaahidi dola bilioni 5 kwa ajili ya kuisaidia Kenya kuimarisha sekta ya afya na kufufua uchumi wakati huu wa janga la corona.