Marekani yaadhimisha sherehe za kuwaenzi mashujaa wa kivita

Your browser doesn’t support HTML5

Licha ya kuendelea kuwepo maambukizi ya virusi vya corona Wamarekani wamejitokeza katika fukwe za bahari kuadhimisha sikukuu ya kuwakumbuka mashujaa wa kivita.