Marekani: Warepublikan waidhinisha mpango wa kanuni zitakazo ongoza utendaji kazi

Your browser doesn’t support HTML5

Wabunge wa Republikan nchini Marekani waidhinisha mpango wa kanuni zitakazo ongoza utendaji kazi wa Baraza la Wawakilishi kwa miaka miwili ijayo.

Uganda yatangaza kumalizika kwa mlipuko wa ugonjwa wa ebola uliozuka takriban miezi minne iliyopita...

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari