Marekani: Wafanyakazi na waandishi wa gazeti la New York Times wagoma

Your browser doesn’t support HTML5

Mamia ya waandishi wa habari na wafanyakazi wa gazeti la New York Times wameanza mgomo wa saa 24 Ijumaa.

Wafanyakazi hao wamekerwa na hali ya kudorora kwa majadiliano yanayoendelea kwa miezi kadhaa katika ugomvi mkubwa kuwahi kutokea katika miaka 40 kwa magazeti makubwa hapa Marekani. Endelea kusikiliza hali ilivyokuwa...