Marekani : Wabunge kujadili madaraka makubwa aliyopewa rais

Your browser doesn’t support HTML5

Wiki hii wabunge wa Marekani wanakutana kujadili madaraka makubwa aliyokuwa nayo rais wa Marekani katika kuanzisha vita na operesheni mbalimbali za kijeshi.