Marekani: Uchaguzi wa katikati ya muhula na utafiti wa maoni juu ya hatma ya Republikans na Wademokrats

Your browser doesn’t support HTML5

Je, unajua nini utafiti wa maoni unatabiri kuhusu ushindi kati ya Republikans na Wademokrat. Ungana na mwandishi wetu Harrison Kamau akikuletea mengi kuhusu mustakbali wa siasa za Marekani na mengi mengineyo. Endelea kumsikiliza...