Marekani: Rais Biden atangaza amri ya kiutendaji kudhibiti ununuzi wa bunduki

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani Joe Biden ametangaza amri ya kiutendaji yenye lengo la kupanua taratibu za ukaguzi wakati wa kununua bunduki ilikujaribu kudhibiti mauaji ya watu wengi kwa mara moja nchini Marekani. Biden amelitaka Bunge kuchukua hatua zaidi. Ungana na mwandishi wetu akikuletea ripoti kamili.