Marekani: Polisi waendelea na uchunguzi kufuatia kifo cha Mtanzania Georgia

Your browser doesn’t support HTML5

Polisi waendelea na uchunguzi kufuatia kifo cha Mtanzania Rogers Kyaruzi kilichotokea Georgia hapa Marekani. Inadaiwa kuwa Mtanzania huyo alipigwa risasi na afisa polisi katika mgahawa. Tukio hilo lilitokea wakati afisa Polisi huyo akijaribu kumsihi atoke nje ya mgahawa.