Marekani : Obama amuunga mkono Joe Biden

Your browser doesn’t support HTML5

Obama afunguka juu ya Biden kuwa mgombea pekee wa urais katika uchaguzi mkuu wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Demokratik, amwagia sifa stahili za uongozi.