Marekani na washirika wake wataka Russia ithibitishe inaondoka Ukraine

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani Joe Biden na washirika wa Ulaya wametaka ushahidi wa majeshi ya Russia kuondoka Ukraine kufuatia kauli ya Kremlin kuwa imeanza kufanya hivyo.