Marekani na Ujerumani waridhia kupeleka vifaru vya kivita Ukraine

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani Joe Biden ametangaza kuwa Marekani itatuma vifaru 31 aina ya Abram nchini Ukraine muda mfupi tu baada ya Ujerumani kutangaza itatuma vifaru 12 aina ya Leopard 2.

Endelea kupata maelezo kamili kuhusu hatua hii iliyochukuliwa na nchi hizi mbili na nini kinachotarajiwa kufikiwa huko Ukraine.