Matukio ya Dunia Marekani na nchi za Ulaya zakabiliwa na changamoto za maambukizi 29 Desemba, 2021 Your browser doesn’t support HTML5 Marekani na nchi kadhaa za Ulaya zimerikodi ongereko kubwa zaidi la kila siku la maambukizi mapya ya COVID-19.