Marekani na dunia wasubiri uamuzi wa mahakama kesi ya Floyd

Your browser doesn’t support HTML5

Wamarekani na dunia wanasubiria kujua hatma ya kesi ya afisa polisi wa zamani katika kesi ya mauaji inayomkabili afisa wa zamani wa polisi Derek Chauvin, Minneapolis, Jimbo la Minnesota, Marekani