Marekani : Mpango wakuwaondoa wanajeshi Afghanistan shwari

Your browser doesn’t support HTML5

Maafisa wa juu wa ulinzi Marekani wanasema ikiwa imebaki chini ya wiki mmoja utaratibu wa mpango wakuwaondoa wanajeshi Afghanistan unakwenda vizuri.
-Mkutano wa kutafuta amani katika kanda ya maziwa makuu hasa Mashariki ya DRC umemalizika.
-Utumiaji wa dawa za kulevya waongezeka Kenya.