Marekani : Mafanikio ya mpango wa Peace Corps wa kujitolea ng'ambo

Your browser doesn’t support HTML5

Mpango wa matarajio wa vijana wa Marekani ulioanzishwa na Rais J F Kennedy unawawezesha kujitolea kufanya kazi ng'ambo ambako wanapata fursa kujifunza utamaduni na mila zao.