Marekani kuwekeza dola milioni 3.2 kuimarisha uchumi Amerika ya kati

Your browser doesn’t support HTML5

Marekani yatangaza msaada wa dola milioni 3.2 za uwekezaji kwenye mataifa ya Amerika ya Kati ikiwa ni sehemu ya kuimarisha uchumi na kudhibiti wimbi kubwa la wahamiaji.