Marekani: Kulegezwa kwa masharti ya COVID-19 ni fursa ya kisiasa kwa Rais Biden

Your browser doesn’t support HTML5

Rais Joe Biden anarejea kufanya uchangishaji fedha wa kisiasa wakati kanuni za kujilinda na virusi vya corona zikilengezwa zikizuia mikusanyiko mkubwa, Endelea kusikiliza kwa nini uwezo wa chama kukusanya michango mikubwa ni muhimu...