Marekani kujenga tena uaminifu na NATO

Your browser doesn’t support HTML5

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Anthony Blinken asema anataka kujenga tena uaminifu na Jumuiya ya Kujihami ya NATO baada ya Donald Trump kuuita umepitwa na wakati.