Marekani kuendelea na zoezi la kuwaondoa wanajeshi Afghanistan
Your browser doesn’t support HTML5
Msemaji wa White House amesisitiza kuwa hakuna mabadiliko yoyote katika ratiba ya kuwaondoa wanajeshi wa Marekani nchini Afghanistan, wakati ambapo viongozi wa Afghanistan wanatarajiwa kukutana na Rais Biden