Marekani kuendelea kulisaidia jeshi la Afghanistan

Your browser doesn’t support HTML5

Maafisa wa juu wa ulinzi Marekani wanasema Jeshi la Marekani litaendelea kulisaidia Jeshi la Afghanistan kwa kuwajengea uwezo na kuwapatia msaada wa kiufundi.