Marekani inatazamia mashambulizi zaidi kutoka kwa ISIS-K

Your browser doesn’t support HTML5

Jenerali Mckenzie wa Jeshi la Marekani asema makamanda wa Marekani wanatazamia mashambulizi zaidi ya ISIS-K kutokea Kabul, Afghanistan na imejiandaa kujihami.
- Katibu Mkuu wa UN atoa tahadhari ya kusambaa ghasia nchini Ethiopia.

- Rais wa zamani wa Nigeria Obasanjo ateuliwa kuwa Mjumbe wa Umoja wa Afrika kwa Pembe ya Afrika