Marekani: Haki ya kutoa mimba yapiganiwa uchaguzi wa katikati ya muhula

Your browser doesn’t support HTML5

Mfumuko wa bei, haki ya kutoa mimba na usalama, mipaka na uhalifu ni masuala yanayoangaziwa sana na wapiga kura hapa Marekani wakati taifa la Marekani likielekea katika uchaguzi wa katikati ya muhula, 2022 utakaofanyika wiki ijayo.

Ungana na mwandishi wetu akikuletea repoti maalum inayochambua hali ya uchaguzi na mivutano ya kisiasa kati ya mafahari wawili wa kisiasa Wademokrat na Warepublikan nchini..