Marais wa Marekani, Mexico na Canada kukutana Mexico City

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani Joe Biden yuko Mexico City kwa ajili ya mazungumzo juu ya wahamiaji na vita dhidi ya dawa za kulevya. Baadae anatarajiwa kuhudhuria mkutano wa viongozi wa mataifa matatu ya Amerika Kaskazini.

UN yaeleza masikitiko yake kufuatia mafuriko makubwa nchini Pakistan, Katibu Mkuu Antonio Gutteres ayaomba mataifa tajiri kusaidia kuwekeza kujenga tena taifa hilo.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika, Washington, D.C.