Maputo yarekodi maambukizi makubwa ya COVID-19

Your browser doesn’t support HTML5

Msumbiji imeweke rekodi mpya ya idadi ya vifo vya COVID-19 vya kila siku ambapo sasa imeandikisha vifo 32 kati ya Jumanne na Jumatano, huku idadi kubwa ya maambukizi yakitokea Maputo.