Mapokezi ya timu ya Kenya Olimpiki Tokyo 2020 yaibua mjadala

Your browser doesn’t support HTML5

Timu ya Kenya Olimpiki Tokyo 2020 yapokelewa nyumbani katika namna ambayo imezua mjadala wakati maoni yamekuwa mseto ambayo iliibuka nchi kinara barani Afrika kwa kujizolea medali nyingi zaidi ikilinganishwa na mataifa engine.