Mapinduzi ya kijeshi Burkina Faso
Your browser doesn’t support HTML5
Hali ya maisha katika mji mkuu wa Burkina Faso, wa Ouagadougu imerudi kuwa ya kawaida leo Jumatatu baada ya kuzuka uasi katika jeshi tangu jumamosi hadi jumapili usiku katika kile kinachoripotiwa ni mapinduzi ya kijeshi. Abdushakur Aboud anatuarifu zaidi.