- Wanadiplomasia wa Marekani na nchi nyingine wafanikiwa kuondolewa kwa usalama nchini Sudan.
Mapigano makali yanaendelea Khartoum, wanamgambo waonyesha ukaidi
Your browser doesn’t support HTML5
Mapigano makali kati ya majeshi ya majenerali mahasimu yanaendelea kuripotiwa nchini Sudan huku picha za video zikionyesha jeshi la kikosi cha usaidizi wa haraka cha wanamgambo, RSF, wakionyesha ukaidi wao karibu na makazi ya rais.