Mapigano makali yaendelea kati ya Armenia na Azerbaijan

Your browser doesn’t support HTML5

Makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Armenia na Azerbaijan yagonga mwamba, baada ya mapigano mapya kuripotiwa Jumanne.