Mapigano makali bado yanaendelea DRC

Your browser doesn’t support HTML5

Mapigano makali bado yanaendelea kati ya jeshi la serikali na waasi wa M23 nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Wamarekani watoa maoni tofauti kufuatia kugundulika nyaraka za siri katika makazi ya aliyekuwa Makamu wa Rais wa Marekani Mike Pence.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari