Maonyesho ya vifaa mbalimbali vya kielektroniki yafanyika Las Vegas

Your browser doesn’t support HTML5

Wadau mbalimbali wa sekta ya teknolojia wamekusanyika Jijini Las Vegas, Jimbo la Nevada, Marekani kwa maonyesho ya kila mwaka ya vifaa mbalimbali vya kielektroniki.