Ungana na mwandishi wetu wa teknolojia akikuletea muhtasari wa yanayojiri katika tukio hilo la kimataifa na nini kilicho sababisha yasitishwe kwa muda.
Maonyesho ya ubunifu mpya wa vyombo vya usafiri wa angani Paris
Your browser doesn’t support HTML5
Maonyesho ya vyombo vya usafiri wa angani ya Paris yamerejea baada ya mapumziko ya miaka minne. Mashirika ya ndege, watengenezaji, wanajeshi na wachambuzi wa tasnia hiyo wamewasili katika maonyesho hayo.