Maonyesho ya picha za ukatili wa polisi yazinduliwa Nairobi

Your browser doesn’t support HTML5

Maonyesho ya picha zinazoonyesha ukatili wa polisi yamezinduliwa wiki iliyopita jijini Nairobi. Maonyesho yanadhamiria kutoa mwangaza kwa orodha ndefu ya visa, ambapo polisi wa Kenya, wamekuwa wakishutumiwa, kwa kutekeleza mauaji kiholela na ukatili dhidi ya wananchi.