Maoni yaendelea kutolewa baada ya Israeli na Palestina kusitisha vita

Your browser doesn’t support HTML5

Hisia mbalimbali zaendelea kutolewa duniani kufuatia kusitishwa kwa mapigano kati ya Israeli na Palestina
- Makundi ya kutetea haki za binadamu yakosoa hatua za kuweka mahakama za Mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo chini ya usimamizi wa jeshi.

- Mashindano ya Ligi ya Mpira wa Kikapu ya Afrika yaendelea kupamba moto mjini Kigali, Rwanda.