Maoni ya wanaharakati juu ya kuuawa kwa muasi wa FDLR

Your browser doesn’t support HTML5

Mashirika ya kiraia yasema mausi huyo asingeuawa na badala yake kukamatwa ili kuipa serikali taarifa zaidi za kiintelijensia
Wakati huohuo kifo cha kamanda wa waasi wa FDLR, Sylvestre Mudacumura kimepokelewa kwa hisiya mseto na upande wa watetezi wa haki za binadamu katika jimbo la kivu kaskazini.