Maoni : Mdahalo wa Trump na Biden haujabadili msimamo wa wapiga kura
Your browser doesn’t support HTML5
Wachambuzi waeleza hisia zao juu ya mdahalo wa rais kati ya Rais Donald Trump Mrepublikan na Makamu wa Rais wa zamani Joe Biden Alhamisi kuwa haujabadili msimamo wa wapiga kura.