Maoni juu ya madaktari kushiriki mgomo Kenya

Your browser doesn’t support HTML5

Wiki moja baada ya kufukuzwa kazi madaktari katika sekta ya umma waliogoma Mombasa, sasa madaktari wenzao katika sekta binafsi wanatishia kujiunga na mgomo huo, wakati wananchi wakieleza maoni mseto kuunga mkono na kupinga hatua hiyo ya kuwafukuza.