Maoni juu ya ajali za barabarani Afrika Mashariki

Kutokana na ajali za barabarani kuongezeka katika nchi za Afrika Mashariki baadhi ya wataalam na raia wanatoa maoni yao. Kati yao ni kamanda wa Jeshi la Polisi- usalama barabarani na mkuu wa kitengo cha uchunguzi wa ajali Uganda, Mugisha Patrick, mwandishi wa gazeti la Mwananchi Tanzania, Ephraim Bahem. Pia William Lusige na Alice Wacharo kutoka Kenya wanatoa maoni yao juu ya kujaribu kuepuka ajali hizo katika eneo zima la Afrika mashariki.

Your browser doesn’t support HTML5

Maoni ya ajali Afrika Mashariki