Manyanyaso ya ngono yaongezeka Sudan Kusini licha ya mapigano kupungua

Your browser doesn’t support HTML5

Matukio ya manyanyaso ya ngono yanayohusishwa na vita yameongezeka nchini Sudan Kusini licha ya mapigano kupungua.