Mandhari ya Mogadishu yawavutia wawekezaji

Your browser doesn’t support HTML5

Eneo linalojulikana kama 'Lulu ya Bahari ya Hindi', Mogadishu, imeendelea kubadilika kuwa ni kivutio cha uwekezaji kwa wageni wanaotafuta fursa ya kufanya biashara nchini Somalia.