Manchester City kuendelea na Ligi ya Premier bila ya Ilkay Gundogan

Your browser doesn’t support HTML5

Mchezaji wa Manchester City Ilkay Gundogan alikutikana na COVID-19 atajitenga kwa siku 10 wakati timu yake ikiendelea kushiriki katika ligi ya Uingereza.