Takriban watu 7,800 wasio na makazi kwenye mji huo wenye siasa huru wamekuwa tatizo kwenye jimbo la California, wengi wao wakiishi kwenye mahema na magari.
Mamlaka ya San Francisco yashtakiwa, watu wasiokuwa na makazi wadai haki zao
Your browser doesn’t support HTML5
i
Shirikisha
Ona maoni
Print
Uongozi wa mji wa San Francisco, Marekani umeshtakiwa kutokana na hatua ya kuwalazimisha watu wasio na makazi kuondoka na mali zao bila kuwapa makazi mbadala.