Mamia ya wanajeshi wa Marekani wawasili Kabul

Your browser doesn’t support HTML5

Mamia ya wanajeshi wa Marekani wamewasili Jumatano mjini Kabul kusaidia operesheni ya kuwasaidia raia wa Marekani na raia wa Afghanistan kuondoka nchini Afghanistan kwa salama.