Mamia ya wahamiaji waendelea kuwasili mpakani Marekani
Your browser doesn’t support HTML5
Mamia ya wahamiaji kutoka Amerika Kusini na mbali zaidi waendelea kuwasili Marekani kwa matumaini ya kuruhusiwa kuingia nchini wakati utawala wa Rais Biden ukiendelea kutengua sera za uhamiaji za Trump.