Mamia ya waandamanaji wajitokeza kulaani mauaji ya Wright
Your browser doesn’t support HTML5
Mamia ya waandamanaji wamejitokeza kwa siku nne kulaani mauaji ya mwanaume mwengine mweusi katika jimbo la Minnesota, Marekani yaliyo sababisha mvutano, huzuni na hasira.