Mamia ya tembo wafa nchini Botswana katika hali ya kushangaza

Your browser doesn’t support HTML5

Mamia ya tembo wafa katika hali ya kushangaza nchini Botswana huku maafisa wa nyama pori wakisema wanyama wote waliokufa walikuwa na pembe zao.