Kesi ya Mwanamama kutoka China "Malkia wa Pembe"

Your browser doesn’t support HTML5

Video ikionyesha kesi ya mwanamama kutoka China “Yang Feng Glan” maarufu kama Malkia wa pembe alipokuwa mahakamani leo mjini Dar Es salaam. Kesi hiyo imeahirishwa tena mpaka tarahe 4 Julai.