Malaria : Kenya yatumia droni kufikia mazalio ya viwavi

Your browser doesn’t support HTML5

Kenya imeanza kutumia vyombo vya droni kutafuta maeneo ya mazalio ya mbu na kuanza kuwaua mnamo awamu ya mwanzo ya viwavi kufikia maeneo ambayo ni tabu kuyafikia kutokomeza malaria.