Malalamiko ya shirika la kutetea haki za binadamu Kenya kuhusu huduma namba

Your browser doesn’t support HTML5

Shirika la kutetea haki za binadamu nchini Kenya (KHRC) limewasilisha ombi Bungeni kuitaka serikali ya Kenya kusitisha utekelezaji wa mpango wa Huduma Namba hadi pale dosari zilizopo zitakaposhughulikiwa .