Makundi ya upinzani Somalia yamshutumu Farmajo

Your browser doesn’t support HTML5

Mgombea urais wa upinzani Somalia Abdishakur amerejea kumshutumu Rais wa Somalia Farmajo kwa kubakia madarakani kwa muda usiojulikana kwa hila ya uchaguzi na njama na mkurugenzi wa idara ya taifa ya upelelezi huku tarehe ya uchaguzi ikibakia haieleweki.